Gazeti App Gazeti App Soma Habari Bila Internet

App Screen

Soma Habari

Soma Habari kutoka kwenye Blog mbalimbali Hapa Tanzania.

Sikiliza Redio

Sikiliza Redio mbalimbali kutoka hapa nchini Tanzania.

Angalia Video

Angalia Video za Habari kutoka ndani na nje ya Tanzania.

Download Sasa Kwenye Android

Google Play Get it on

Je Kwanini Gazeti App?

Haya ni machache yaliomo kwenye app hii
Tablet Reflection
  • Screen 01
  • Screen 02
  • Screen 03
  • Screen 04
iPhone
  • Screen 01
  • Screen 02
  • Screen 03
  • Screen 04

Je Kwanini Gazeti App ?

Haya ni machache yaliomo kwenye app hii

Habari Zote Kutoka Tanzania

Kupitia App ya Gazeti App utaweza kusoma habari mpya kutoka kwenye tovuti mbalimbali zinazo aminika hapa nchini Tanzania, Hivyo huna haja ya kuwa na Apps tofauti za Habari kwani Gazeti App ina kilakitu.

Habari Bila Muingiliano

App ya Gazeti App imetengenezwa kwenye mpangilio mzuri ambao unaweza kusaidia kupata habari zaidi kutoka kwenye tovuti unayo ipendelea zaidi bila hata muingiliano wa matangazo.

Soma Bila Internet

Kupitia App ya Gazeti App utaweza kupata habari mpya kila siku na mara baada ya kupata habari hizo utaweza kuzisoma hapabri hizo baadae bila hata kuwa na Internet.

Soma Maoni Mbalimbali

Mbali ya kukupa habari app ya Gazeti App inakupa uwezo wa kipekee wa kusoma maoni mbalimbali yanayotolewa kwenye habari kutoka kwenye tovuti mbalimbali za habari za hapa nchini Tanzania.


MENGINE KUHUSU Gazeti App

Muundo Mzuri

App ya Gazeti App ina muundo mzuri ili kuhakikisha unasoma habari kwa haraka bila kusumbuliwa na matangazo wala muundo mbovu.

See more

Kufunguka Haraka

Kama ni mara yako ya kwanza kutumia app ya Gazeti App lazima utaipenda kwani inakupa habari kwa haraka na inafunguka kwa haraka.

See more

Taarifa za Habari Mpya

App ya Gazeti App pia inakupa nafasi ya kupata ujumbe kila habari mpya yenye maana inapoandikwa kwenye tovuti mbalimbali za Tanzania.

See more

Simu Zote za Android

App ya Gazeti App inafanya kazi kwenye simu zote za Android, pia app hii ni ndogo kiasi cha MB 6 tu hivyo haitachukua nafasi kubwa kwenye simu yako.

See more