Aliyekuwa mwenyekiti IEBC amtaka Raila kutoa ushahidi wake
Aliyekuwa mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati sasa amemtaka kinara wa Azimio Raila Odinga kutoa kanda ya video anayodai kuwa alimtembelea kwake nyumbani kabla ya matangazo ya kura ya urais mwaka jana. Chebukati amesema kuwa iwapo odinga hatatoa video hiyo basi hana budi kumshtaki.