>

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa afungua rasmi kitengo cha wodi mpya za kujifungulia

2 months ago 50
SHARE THIS POST


Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa amefungua rasmi kitengo cha wodi mpya za kujifungulia katika hospitali ya Malava Level 4.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST