>

Kamati kuhusu udhibiti wa ukame na baa la njaa zaundwa

1 month ago 23
SHARE THIS POST


Kamati zitakazoangazia madhara ya ukame na baa la njaa zimezinduliwa. Kamati hizo zitakazoongozwa na magavana katika kaunti zaidi ya ishirini zilizoathirika zinatarajiwa kutadhmini na kutoa ripoti kuhusu mahitaji ya dharura. Naibu rais Rigathi Gachagua amefanya mkutano na magavana leo na kuelezea mipango ya kupambana na ukame nchini. Na kama anavyoarifu Emily Chebet, zaidi ya watu milioni nne wameathirika na baa la njaa nchini.
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST