Kampuni ya Directline assurance yawatuza waliobobea nchini
Kampuni ya Bima ya Directline Assurance imewatuza mawakala wake waliobobea humu nchini katika tuzo za kwanza za Directline Wakala Awards. Tuzo hizo zinapania kuwatambua washiriki wakuu wa biashara ya kampuni hiyo wanaojishughulisha na mauzo ya bima yake kote nchini.