Maaskofu wakatoliki wakosoa uamuzi wa mahakama ya upeo kuhusu mapenzi ya jinsia moja
Uamuzi wa mahakama ya upeo kuhusu wapenzi wa jinsia moja kusajili mashirika yao unazidi kuibua pingamizi. Baraza la maaskofu w akanisa katoliki na walimu wakuu wamepinga uamuzi huo na kushinikiza uangaliwe upya wakisema uhanatarisha maadili.