Rais William Ruto aamrisha wanajeshi kujenga shule zilizoharibiwa na majangili Bonde la Ufa
Rais William Ruto ameagiza maafisa wa kijeshi kushirikiana na wizara ya elimu kujenga upya shule kwenye maeneo yaliyokumbwa na ukosefu wa usalama kaskazini mwa bonde la ufa.