Angalia Uzinduzi wa iPhone 15 Ndani ya Dakika 17

Kama wewe ni mtumiaji au mpenzi wa simu mpya za iPhone basi unaweza kutazama uzinduzi wa simu mpya za iPhone 15 ikiwa pamoja na bidhaa nyingine kutoka kampuni ya Apple ndani ya Dakika 17.Tayari kampuni ya Apple imesha zindua simu mpya za Apple na sasa unaweza kujua yote ya muhimu kuhusu simu hizi kupitia hapa.Kama unataka habari zaidi utazipata mara baada ya uzinduzi huu tutakuletea yote ya muhimu kuhusu simu hizo ikiwa na bidhaa nyingine mpya za Apple zitakazo zinduliwa. Kwa sasa unaweza kusoma hapa kujua yote tunayotajaria kuyaona kwenye uzinduzi huo.

Sep 21, 2023 - 09:55
 1

What's Your Reaction?

like

dislike

love

funny

angry

sad

wow