Fanya Haya kwa Kugusa Sehemu ya Kamera Kwenye Simu Yako

Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android njia hii inakuhusu, kupitia njia hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kubadilisha sehemu ya kamera ya mbele kuwa kitufe maalaum, yaani kama simu yako ina muonekano kama picha hapo chini basi njia hii ni kwaajili yako.Haijalishi sehemu hiyo ya kamera ina kamera mbili au kamera mmoja bali kama kamera ya simu yako ipo ndani ya kioo njia hii itaenda kufanya kazi kwenye simu yako.Sasa kitu cha muhimu ni kuhakikisha unapakua app kupitia link hapo chini, app hii itakusadia kuweza kubadilisha sehemu hiyo na kuruhusu sehemu hiyo kutumika kama kitufe maalum.Yaani utaweza kuwasha kamera, kufungua app maalum, kuwasha tochi na mambo mengine mengi moja kwa moja kwa kugusa sehemu hii kwenye simu yako. Touch The Notch- Action Button Price: Free Pakua Toleo la Bila KununuaBaada ya kupakua app hii moja kwa moja fungua app hii na kisha ruhusu app hii kwenye permission mbalimbali kisha utapelekwa kwenye uwanya wa Settings.Unaweza kufanya mambo mbalimbali kama unaweza kuona kwenye video hapo chini, hakikisha unajaribu Menu mbalimbali ili kujua menu gani ni muhimu kwako.Unaweza kufanya yote hayo kwa kubofya tu sehemu ya kamera kwenye simu yako. Kama kuna mahali umekwama unaweza kutuandikia kupitia maoni hapo chini, pia kwa unataka kujua maujanja zaidi unaweza kutembelea Tanzania Tech kila siku.

Sep 21, 2023 - 09:55
 0
Fanya Haya kwa Kugusa Sehemu ya Kamera Kwenye Simu Yako
Kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android njia hii inakuhusu, kupitia njia hii nitaenda kuonyesha njia rahisi ambayo unaweza kutumia kubadilisha sehemu ya kamera ya mbele kuwa kitufe maalaum, yaani kama simu yako ina muonekano kama picha hapo chini basi njia hii ni kwaajili yako.Haijalishi sehemu hiyo ya kamera ina kamera mbili au kamera mmoja bali kama kamera ya simu yako ipo ndani ya kioo njia hii itaenda kufanya kazi kwenye simu yako.Sasa kitu cha muhimu ni kuhakikisha unapakua app kupitia link hapo chini, app hii itakusadia kuweza kubadilisha sehemu hiyo na kuruhusu sehemu hiyo kutumika kama kitufe maalum.Yaani...

What's Your Reaction?

like

dislike

love

funny

angry

sad

wow