Viongozi wa makanisa wakutana na Raila Odinga, Nairobi
2 months ago
36
SHARE THIS POST
Katika juhudi za kutafuta suluhu kufuatia maandamano yanayoendelezwa na upinzani nchini, viongozi wa kanisa katoliki wamefanya mkutano na vinara wa Azimio hapa Nairobi.