>

Zaidi ya wanawake 700 kutoka Kuria walioasi masomo wapata mafunzo ya kuimarisha maisha yao

2 months ago 41
SHARE THIS POST


Zaidi ya wanawake 700 kutoka eneo la kuria kaunti ya Migori waliosusia masomo kwa miaka mingi iliyopita wamepata sababu ya kutabasamu baada ya kupata mafunzo kutoka kwa vyuo anuwai katika eneo hilo kama njia ya kuimaisha maisha
Source : Kenya CitizenTV

SHARE THIS POST