Kama uko na mayai mawili, unga na maziwa tengeneza hii recipe utapenda sana | mapishi rahisi
Jinsi ya kutengeneza mikate laini ya chocolate ndaniπ―/π―, chocolate stuffed brioche bread π₯ mahitaji: unga 500g 4cups siagi 125 g Β½ cup sukari Β½ cup hamira 2 tsp mayai 2 maji / maziwa ΒΎ cup maziwa ya unga 3 tbsp vanilla 1 tsp