LIVE: POWER BREAKFAST YA CLOUDS FM | NDANI YA MJENGO MJADALA NI KUHUSU MALEZI YA WATOTO

1 month ago 333


Kuanzia Miaka 3 hadi 14 ni umri pendekezwa Kwa wazazi kuhakikisha wanashiriki kikamilifu Katika makuzi ya Mtoto kwani Ndio umri sahihi unaotazamwa na Wataalam. Ni kipindi ambacho Watoto wanaelezwa kukua Kwa kasi kiakili na kimwili, lakini wakati kukiwa na msisitizo huo wa Kitaalam, nchini Wazazi wengi ni Kama jukumu hilo wamelitelekeza Kwa Walimu na wakati mwingine Kwa Dereva anaempeleka na kumrejesha kutoka Shule je ni sawa...? #cloudsdigital #powerbreakfast #tumekuverify
Source : Clouds Media

SHARE THIS POST